Saturday, July 12, 2014

Gari ya Serikali ya India

Hili ni moja ya aina ya magari yanayotumika na serikali ya India. Hili lilimleta kiongozi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo India kwenye nyumba ya wageni ya ICAR tuliyofikia siku ya kwanza ya ziara yetu.

No comments: