Friday, July 11, 2014

Uite 'mtemba' mkubwa

Huu ni mtemba mkubwa. Tulipofika hapa  mvutaji ndo kwanza alikuwa anamalizia kuvuta. Niliposhika nikaukuta wa moto!


                      Bado kidogo nivute 'mtemba' wa kihindi

No comments: