Saturday, July 12, 2014

Utunzaji wa Nasaba za Mimea nchini India chini ya IARI

 Tunapata maelezo kutoka kwa watafiti wa 'National Bureau Plant Genetic Resource'
Mafanikio ya centre yamebaninishwa

Aina mbalimbali za mahindi zinahifadhiwa. Hata mahindi meusi yapo duniani!


Mitungi mikubwa ya kuhifadhia nasaba za mimea

Dr.Bahari akiuliza jambo kutoka kwa watafiti wa kituo

Umuhimu na tishio wa juhudi za kutunza nasaba zimeelezwa

Kazi kubwa ya kutunza nasaba za mimea iliyokwishafanywa nchini India

Mtafiti kutoka NBPGR akitoa maelezo ya sehemu ya 'Quaratine'

Utunzaji wa nasaba za mimea unapewa umuhimu mkubwa nchini India chini ya  IARI ndiyo maana kuna centre ya taifa (NBPGR)

No comments: