Tuesday, July 8, 2014

ICAR INTERNATIONAL GUEST HOUSE-Tulipofikia







 Hapa ndipo trunapoishi tukiwa ziarani India. Jengo hili la wageni ni kitega uchumi cha 'Indian Council of Agricultural Research'  (ICAR). Hii ni taasisi ya umma inayosimamia Utafiti wa Kilimo nchini India. Jengo hili la wageni lina huduma muhimu kwa wageni. Hata hivi sasa natumia wireless internet ndani ya chumba changu gharama zote zimejumuishwa na malazi. Huu ni utaratibu mzuri kwa taasisi za umma kuwa na vitega uchumi vyake  licha ya kutoa huduma za kitaalamu.










No comments: