Saturday, July 12, 2014

Ndani ya Library ya IARI




Maktaba ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo India (IARI-Library) ni njengo zima kama linavyoonekana  pichani. Ni kitu kikubwa kinachopewa kipaumbele na Taasisi. Maktaba si vitabu tu ni pamoja na sehemu ya makumbusho ya shughuli za Taasisi maarufu kama 'museum.'Maktaba nzuri ni silaha na kioo cha Utafiti tuna sababu tosha ya kuboresha maktaba zetu za utafiti wa kilimo nchini.

No comments: