Friday, July 11, 2014

Nyumbani kwa mkulima wa mfano India

Timu yetu pamoja na wataalamu kutoka kituo cha Usambazaji wa Teknolojia za Kilimo (KVK) wakizungumza na mkulima wa mfano (mwenye shati ya mistari ya-bluu,nyeupe na nyeusi) shambani kwake. Kwa kiwango alichofikia mkulima huyu ni mkulima mkubwa kama tgulivyoelezwa na wataalamu wa kilimo India tulioongozana nao.

No comments: