Jijini New Delhi - barabara za magari, treni zinaimarishwa. Pamoja na kwamba idadi ya watu jijini New Delhi ni kubwa takaribani 250 milioni. Hata hivyo barabara kwa kiwango cha lami ni nyingi na ni pana. Usafiri wa reli - metro na za kawaida upo na miundo mbinu hiyo inaendelea kujengwa sehemu nyingine za mji.
No comments:
Post a Comment