Saturday, July 12, 2014

Tukiwa pamoja na wakulima vijana -India

Tulipata nafasi ya kuwa pamoja na wakulima vijana wavulana waliokuwa kwenye mafunzo katika Kituo cha Usambazaji Teknolojia za Kilimo(wenyewe wanakiita 'Farmer Science Centre' au Krishi Virgan Kendra kwa kihindi) kilichopo Gurgaon-India kilometa takribani 30 kutoka New Delhi.

No comments: