Saturday, July 12, 2014

International Guest House ya ICAR



International Guest House ya Indian Council of Agricultural Research (ICAR) hakika ni ya Kimataifa. ICAR ni Baraza linaloratibu shughuli za Utafiti wa Kilimo (Mifugo na Mazao) nchini India. Tunapaswa kuwa na chombo kama hiki cha Utafiti wa Kilimo nchini kinachounganisha shughuli za utafiti wa Kilimo na siyo COSTECH!

No comments: