Friday, July 11, 2014

Vijana wa Kihindi na mafunzo ya kilimo

Tulibahatika kuwakuta vijana wa kihindi wa kiume wakipatiwa mafunzo ya baadhi ya teknolojia za kilimo katika 'Farmers' Science Centre' Gurgaon. Tukajiuliza mbona hakuna wasichana. Jibu tulilopata ni kupelekwa kwenye moja ya kituo cha mafunzo ya sayansi jamii kijijini kuwaona wasichana.

No comments: