Saturday, July 12, 2014

Mazingira ya IARI yanavutia

Mazingira ya kufanyia kazi ndani ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo India (IARI) ni ya kuvutia. Bustani ni nzuri na pia vibarabara ni vya lami. Ni heshima kubwa kwa wanasayansi wa IARI.

No comments: