Friday, July 11, 2014

Tulikaribishwa kachori

Kila tulikotembelea wenyeji wetu walitukaribisha kwa mila na taratibu za Kihindi. Kitu cha kwanza ni kupewa maji, baadaye  mambo mengine kama inavyoonekana pichani!


No comments: