Tuesday, July 8, 2014

Pilipili yangu ya kwanza nikiwa India!


Nilishaambiwa na nafahamu kuhusu matumizi ya pilipli nchini India. Hii ndiyo pilipli yangu ya kwanza nikiwa India angalia kitu hicho kwenye sahani. Lakini sikukosa pia chapati !

1 comment:

Anonymous said...

Hongera! jitahidi uwefikie, bro usisahau kufanyia mchakato ile idea ya kuingiza hela kupitia..