Friday, July 11, 2014

Tulitembelea 'Farmers' Science' Centre - Gurgaon kuona shughuli za ugani









Tulitembezwa kituoni Gurgaon  kwenye kituo cha Kusambaza Teknolojia za Kilimo ngazi ya Wilaya (Krishi Vigyan Kendra) au kwa kifupi KVK na kupewa maelezo ya kutosha jinsi kituo kinavyofanya kazi ya kusambaza teknolojia kwa wakulima kwa njia mbalimbali wakiongozwa na Indian Agricultural Research Institute kwa kushirikiana na wagani walioko vijijini. Kituoni kuna mabango yenye maelezo mazuri kama yanavyoonekana kwenye picha kwa kweli yanajitosheleza.

No comments: