Saturday, July 12, 2014

Kuning'inia kwenye Bajaj - India

Usafiri wa Bajaj nchini India ni wa kawaida sana. Abiria ni wengi. Wakati mwingine abiria huning'inia. Hii haina maana kuwa India hakuna mabus makubwa. Mabus ni mengi lakini watu ni wengi sana. Je, unafahamu kuwa New Delhi ni jiji kubwa la pili duniani lenye watu wengi?

No comments: