Ndani ya bus-Muscat Airport |
Tikiwa ndani ya jengo la Muscat Airport |
Niko na wenzangu saba kwenye ziara ya mafunzo nchini India. Tunatembelea vituo vya Utafiti wa Kilimo nchini India kupata kujifunza na kubadilishana uzoefu wa nchi hizi mbili kuhusu utafiti wa Kilimo. Picha zinaonyesha tukiwa safarini kuelekea India siku ya tarehe 6/7/2014
No comments:
Post a Comment