'Farmer Science Centre' maarufu hapa India kwa jina la 'Krishi Vigyan Kendra (KVK) ni vituo vya kusambaza teknolojia za Kilimo huku kwetu tunaweza kusema kuwa ni vituo vya ugani. Tofauti ni kwamba vituo hivi viko katika wilaya zote kila wilaya ina kituo kimoja. Lakini vituo hivi viko chini ya Utafiti vikiongozwa na Baraza la Utafiti wa Kilimo India - (ICAR) vituo hivi vinashirikiana na wagani waliopo vijijini kwa hiyo ni viungo katika ya Utafiti na Ugani ngazi ya wilaya. Hapa tupo katika Centre ya Gurgaon tukipatiwa maelezo jinsi kituo kinavyofanya kazi.
Friday, July 11, 2014
Tumewasili Kituoni Gurgaon

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment