Saturday, July 12, 2014

Ghafla tunageuka kuwa wanasayansi ndani ya maabara ya IARI

Tulivaa makoti kama madaktari

Soma maelekezo kabla ya kuingia ndani ya maabara

Kuingia ndani ya maabara ni kwa zamu kwani inabidi kupitia sehemu ya 'aclamatization'



 Tunapata maelezo kutoka kwa mmoja wa wataalamu wa maabara

Dengu ndani ya majaribio katika maabara

Mpunga nao unafanyiwa utafiti kwenye maabara haya



Mbolea ya Azola

Vifaa vya  kompyuta vya kukusanyia takwimu

Add caption



Dr. Bahari mkuu wa msafara akitoa shukrani kwa wanasayansi wa maabara
Ndani ya maabara ya utafiti wa mimea IARI ambamo shughuli za utafiti zinaweza kuendelea wakati wowote  kwenye maabara haya. Baadaye matokeo hayo yanafanyiwa kazi shambani kabla ya teknolojia kupitishwa. Hapa watafiti na wanasayansi wa fani nyingi wanafanya kazi kwa ushirikiano mkubwa. Vipato vyao havitofautiani sana kwani lengo ni moja. Maabara haya yana vifaa vya kisasa kabisa. Sehemu kubwa ya utafiti, hasa ukusanyaji wa takwimu unafanywa kwa computer.

No comments: