Tulipotembelea National Bureau of Plant Genetic Resource - India aliye kushoto kwangu ni 'Kaka' yangu Prof. Bansal ( ndiye Banzi wa Tz !) Mkurugenzi wa Centre.
| Wajibu wa centre umewekwa wazi ili kila mtu afahamu |
| Tuzo ammbazo centre imepata kwa kazi nzuri |
Vituo vya utafiti vinavyohusika na utunzaji wa nasaba za mimea nchini India
| Wahindi wameweza kukusanya nasaba za mimea kutoka sehemu mbalimbali za dunia |
Angalia wenzetu wanakotaka kwenda na mikakati iliyopo.
No comments:
Post a Comment