Thursday, May 6, 2010

Peniel Lyimo


Peniel Lyimo (kulia) mmoja wa Makatibu Wakuu Waandamizi hapa nchiniakiwa katika moja ya Panel kwenye mkutano wa Kimataifa wa Uchumi unaoendelea jijini Dar Es Salaam. Ni Mchumi Kilimo aliyebobea ambaye amefanya kazi Wizara ya Kilimo, Fedha na sasa ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu. Nitamkumbuka kwa usemi wake-"serikali inaongozwa kwa sheria, taratibu, kanuni na miongozo."

1 comment:

Belo said...

Huyo Mzee ni mchapakazi nilimuona ofisi ya Waziri mkuu aliendesha mkutano hakuna chai wala break,mkutano ulipoisha ndio wa2 wakala msosi ,anaonekana yuko makini