Friday, May 21, 2010

Shida ya Maji


Wakati kwetu Kisemvule wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani maji ni bwelele, huko Nduli mkoani Iringa maji hufuatwa pangoni! (Angalia picha- Kwa hisani ya Mjengwa blog)

No comments: