Tuesday, December 4, 2012

Aflatoxin ni hatari kwa afya zetu

Ugonjwa wa ukungu kwenye mazao ya mahindi na karanga unazidi kuathiri afya za wanadamu kimyakimya na hata wakulima ufahamu wao ni mdogo sana kuhusu ugonjwa huu, ndiyo maana dunia nzima imeanza kupiga kelele na kutafuta njia ya kupambana na ugonjwa huu unaoathiri mazao hayo.

No comments: