Monday, December 17, 2012

Wamepokea Komunio ya Kwanza

Tarehe 25/11/2012 watoto wetu Eliza, John, Agape na Kelvin walipokea kwa mara ya kwanza komunio kwenye ibada takatifu iliyofanyika katika Parokia ya Mt. Visent wa Paulo, Vikindu, Jimbo Kuu la Dar Es Salaam na baadaye tafrija iliyoandaliwa nyumbani kwao Kisemvule, Mkuranga, mkoa wa Pwani.

No comments: