Tuesday, December 18, 2012

Ni damu sakafuni

Usiombe machafuko yatokeo mahali unapoishi ni balaa.Pichani damu imesambaa sakafuni kwenye bar moja mijini Nairobi baada ya bomu kutua kwenye bar hiyo ambapo kama kawaida watu walikuwa wanapata vinywaji.(Picha kutoka Gazeti la DailNews 18/12/2012)

No comments: