Tuesday, December 18, 2012

Wazazi kujenga choo cha Sekondari ya Vikindu

Wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule ya Sekondari ya Vikindu iliyoko wilayani Mkuranga, mkoa wa Pwani wamekubaliana kuchangia shilingi elfu kumi kwa kila mtoto mmoja zitakazotumika kujenga choo kipya cha kisasa kutokana na choo kilichopo kuwa katika hali mbaya kinachohatarisha usalama na afya za wanafunzi. Azimio hilo lilitolewa katika mkutano wa pamoja kati ya Wazazi na Bodi ya shule uliofanyika shuleni hapo 24 Novemba 2012.

No comments: