Tuesday, December 4, 2012

Dianus Mutta kanisani Vikindu

Wawili wapendanao wanapofanya uamuzi wa kubariki ndoa yao ni jambo takatifu na la kujivunia ndivyo walivyofanya Bw na Bibi Dianus Mutta walipofunga ndoa yao kwenye Kanisa Katoliki la Mt. Visent wa Paulo, Vikindu, Jimbo Kuu la Dar Es Salaam tarehe 29/10/2012.

No comments: