Tuesday, December 18, 2012

Taarifa ya mazingira Jiji la Dar Es Salaam

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dr. Terezya Huvisa (aliyeinua vitabu)amezindua kitabu chenye taarifa ya hali ya mazingira ya Jiji la Dar Es Salaam tarehe 17/12/2012.(Picha kwa hisani ya gazeti la Mwananchi 18/12/2012).

No comments: