Monday, December 17, 2012

Mjukuu anapomlisha keki Babu

Mhe. Jaji Mstaafu Robert Kisanga alilishwa keki na mjukuu wake Agape Kirway kuadhimisha kumbukumbu ya kupokea Komunio kwa mara ya kwanza.

No comments: