Monday, December 17, 2012

Watoto pacha wapata Ekaristi

Watoto mapacha kutoka familia ya rafiki yangu ajulikanaye Kutapatapa wa Soweto, Kisemvule walipata komunio ya kwanza tarehe 25/11/2012 kwenye kanisa la Mt. Visenti wa Paulo, Vikindu.

No comments: