Monday, December 17, 2012

Watoto wanasubiri kuwatumbuiza wageni

Watoto hawa St Vicent Day Care Centre Vikindu waliohitimu elimu ya awali wakiwa tayari kuwatumbuiza wageni waalikwa siku ya mahafali yao yaliyofanyika tarehe 8/12/2012 kituoni pao.

No comments: