Tuesday, December 18, 2012

Akina mama CUF nao wamo!

Viongozi wa Baraza Kuu la Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF) wakiwa katika kikao cha kawaida cha baraza la chama hicho kilichofanyika jijini Dar Es Salaam tarehe 17/12/2012.Baadhi ya wajumbe wakiwa akina mama. Kumbe akina mama wa CUF wamo!(Picha kwa hisani ya gazeti la Mwananchi 18/12/2012).

No comments: