Monday, December 17, 2012

Keki ilikatwa kwa pamoja

Wote wanne (Agape, Eliza, John na Kelvin) walikata keki waliyoandaliwa kwenye sherehe fupi ya kuwapongeza ya kopkea kwa mara ya kwanza Ekaristi takatifu siku ya tarehe 25/11/2012 katika Parokia ya Mt. Visent wa Paulo, Vikindu

No comments: