Tuesday, December 18, 2012

Pikipiki zinavyotumika Vietnam

Pikipiki hizi maarufu hapa nyumbani hujulikana kwa jina la 'Trail 90.' Inasemekana kuwa zinavumilia sana shuruba. Ukiziona utazidharau, lakini pikipiki hizi zimetengenezwa kwa shughuli za vijijini. Nchini Vietnam, wakulima na wafanyabishara huzitumia pikipiki hizi kubeba bidhaa mbalimbali kama anavyoonekana Mvietnam huyu aliyebeba kuku akiwapeleka sokoni. (Picha kwa hisani ya Gazeti la DailNews 18/12/2012)

No comments: