Monday, December 31, 2012

X-MASS yetu chini ya Mkorosho

XMASS ywa mwaka 2012 mimi na familia yangu tulisherehekea nyumbani Kisemvule chini ya Mkorosho! Mimi sikununua nguo mpya na wala mke wangu sikumnunulia nguo mpya! Lakini pilau ilipikwa!

3 comments:

Belo said...

Naipigia kura hii ndio picha ya mwaka 2012

Unknown said...

mmependeza mr & mrs Banzi

Sophie mbeyu said...

NAPENDA STYLE YAKO KAKA BANZI..