Monday, December 17, 2012

Tulifurahi na ndugu zetu

Ndugu na marafiki walifika kuwapongeza watoto waliopata Ekaristi ya Kwanza. Pichani wanaonekana Prof. Moshi na Mkewe Dr.Doreen, Japhet Kirita na Mkewe Ceasar pia Kaka Kalipeni na mkewe Theodora.

No comments: