Monday, December 17, 2012

Watoto katika ngoma ya Utamaduni

Pamoja na kujifunza kusoma, kuandika, hesabu na masomo mengine. Watoto wa St.Vicent Day Care Centre Vikindu hufundishwa kucheza ngoma za asili katika utamaduni wa Kitanzania. Angalia walivyojifunga kanga na ukindu kiunoni (kibwaya).

No comments: