Tuesday, December 18, 2012

Ardhi ya Katavi!

Kilichonivutia katika picha hii si kusukuma gari bali ni ardhi nzuri ya mkoa wa Katavi.Angalia udongo mweusi unaoonyesha kuwa una rutuba, angalia bonde zuri pamoja na uoto wa mimea. Inaelezwa kuwa gari hili la polisi lilikwama katika kijiji cha Ugalla, wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi. Gari hilo lilikuwa kwenye msafara wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda (Picha kutoka gazeti la DailyNews 18/12/2012).

No comments: