Tuesday, December 4, 2012

Filosofia ya funguo 3

Nambari 3 inatumiwa vizuri katika maisha yetu kama vile, Mbagala Rangi 3. Utatu mtakatifu,rangi tatu zakuongoza magari (kijani, njano na nyekundu) matumizi ya dawa - kutwa mara tatu. Filosofia ya funguo tatu imefika mbali zaidi.Naambiwa kuwa siku hizi wasichana wakitaka kuchumbiwa wanaangalia kama mchumba ameshikilia funguo tatu, ujue ni za nini? Moja ni ya nyumba, ya pili gari na tatu ofisi. Huyo mwanaume kakamilika!

No comments: