Tuesday, December 4, 2012

Tunatoka mbali

Kwanza kabisa napenda kuwapongeza Bw na Bibi G.Banzi kwa kujaliwa kupata mtoto wa kiume (aliyelala kitandani). Hongereni sana.Imebidi kuweka picha hii ya uncle wangu kwenye blog iwe kumbukumbu ya maisha yake. Wazazi wanashughulika sana kuhusu matunzo na malezi ya watoto hadi wanapofikia umri wa kujitegemea. Kweli tunatoka mbali.

No comments: