Monday, December 17, 2012

Keki inavutia uile

Hakika keki hii ya uncle Jr ilivutia wengi na hasa watoto. Keki hii ilitengenezwa kwa lengo la kumpongeza kutimiza miaka miwili ya kuzaliwa siku ya 9 Dec (siku ya uhuru wa Tanganyika). Mtengenezaji anastahili sifa.

No comments: