Monday, December 17, 2012

Banzi wa Moro mgeni Rasmi

Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nimeandika historia ya kuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya kumaliza masomo ya elimu ya awali (nursery school). Haya yalitokea tarehe 8/12/2012 St.Vicent Day Care Centre ya Vikindu. Kituo kinachoendeshwa na Kanisa Katoliki na kusimamiwa na Masista wa Visentian wa Parokia ya Vikindu, Jimbo Kuu la Dar Es Salaam.

No comments: