Friday, December 12, 2014

Junior Seminary-Morogoro

Junior Seminary Morogoro ni kongwe hapa nchini kwa elimu ya Sekondari. Imetoa wachungaji kwa Kanisa la Kilutheri Tanzania na wataalamu wa fani mbalimbali hapa nchini. Changamoto ya seminary hii kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa haifanyi vizuri kwenye ufaulu wa wanafunzi kitaaluma.

No comments: