Tuesday, December 30, 2014

Twaeni mnywe nyote


Ni nadra sana kwa waumini wa kawaida kunywa divai wakati wa ibada lakini siku ya kufunga ndoa wanandoa hupata fursa ya kunywa divai, na hivi ndivyo ilivyokuwa tarehe 27/12/2014 ndani ya Kanisa la Mt. Paul, Parokia ya Matombo, wakati Bw & Bi. Edwin Banzi walipoinywa divai baada ya kufunga ndoa yao. HONGERA.

No comments: