Tuesday, December 23, 2014

Tujenge maghala

Hali ya mavuno ya mahindi hapa nchini mwaka huu ni nzuri hasa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Tatizo ni ukosefu wa soko la uhakika na pia sehemu ya kuhifadhia mazao (maghala). Tuhamasike kujenga maghala ya kutunza mazao vijijini na kukodisha badala ya kuendelea kujenga nyumba za wageni (Guest Houses) mijini.

No comments: