Tuesday, December 30, 2014

Usafiri barabara ya Matombo

Barabara ni nzuri na gari za abiria zinazidi kuongezeka barabara ya Morogoro-Matombo. Sasa unaweza kupata usafiri kutoka Morogoro hadi Kibogwa,Lanzi, Kibungo Juu na Tawi. Mabus mengine yanakwenda Dutumi, Kisaki, Mvuha na Kolelo! Pichani magari yakipishana kijijini Nige, Matombo.

No comments: