Friday, December 5, 2014

Mtwara Mikindani




Hii ndiyo mandhari ya Mtwara Mikindani. Sehemu hii ina makumbusho mazuri ya historia ya Watanzania ukipata nafasi ya kutembelea Mtwara usikose kupatembelea.

No comments: