Friday, December 5, 2014

Tuko kwenye mafunzo ya Menejimenti ya Fedha

Mtoa Mada - Eli Balongo

Mmoja wa Washiriki akiwasilisha kazi ya kikundi
Nimebahatika kuhudhuria mafunzo ya muda mfupi wa menejementi ya fedha hapa Morogoro hasa kwa miradi ya Maendeleo tunayoitekeleza  Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika ukiwemo EAAPP

No comments: