Tuesday, December 23, 2014

Mwl. J.K. Nyerere na Kennedy

Baba wa Taifa. Hayati Mwl. J.K.Nyerere akiwa na Kennedy aliyekuwa Rais wa Marekani  enzi hizo. Angalia Mwalimu alivyokuwa smart na makini. Huyu mtu alikuwa kichwa acha bwana. Huyu ni Role model wangu. Ndiyo ana makosa yake kama binadamu wengine lakini mimi namkubali.

No comments: