Friday, December 5, 2014

Utampenda Moses Bayinga ukiwa naye 'field'




Moses Bayinga (mwenye T-SHIRT ya blue) ni mtaalamu wa Kilimo katika Idara ya Utafiti na Maendeleo makao makuu Dar Es Salaam ni kijana anayetaka kujifunza, yuko makini na ni mvumilivu katika kufanya kazi kwenye mazingira yoyote. Nilifurahi kuwa naye katika timu yetu ya uperembaji mkoani Mtwara.

No comments: