Friday, December 12, 2014

Mabalaa ya barabara ya Morogoro

Ukisafiri kutoka Dar-Moro huwezi kukosa kuona ajali barabarani. Mengi yao ni magari ya mizigo. Hiyo ndiyo misukosuko ya barabara ya Morogoro.

No comments: